Muziki
MUSIC AUDIO: Salex Dewanna – LEO
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Salex Dewanna ameachia Audio ya wimbo wake mpya wa ‘Leo’ na anakualika uusikilize kwa kubofya link hapa chini;
Producer wa ngoma hii ni Bactria Massive, Enjoy. Cc @Sheria_genius .