Muziki
Muziki: Izzo Bizness ft Juma Nature – Baraka
Msanii wa muziki Bongo, Izzo Bizness ameachia ngoma yake mpya ‘Barakaa’ akiwa amemshirikisha Juma Nature, producer wa hii ngoma ni Dupy na mixing ni Thapelo. Isikilize hapa.