Videos

New Video: JYGGA_LO ft Merinnah – Dar es Salaam

Kijana wa Kitanzania aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kufanana na rapper wa Marekani Jay Z hali iliyopelekea kupachikwa jina la Jay Z wa Bongo, hatimaye JYGGA_LO ametumia vema fursa hiyo kwa kuachia video ya ngoma yake mpya ‘Dar es Salaam’ aliyoshirikiana na Merinnah. Wimbo huu amesampo beat na melody kutoka kwenye wimbo wa Jay Z uitwao Empire State.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents