Burudani

P-Square waahidi kupiga show kali leo Leaders Club, Dar

Waswahili wanasema asiye na mwana aeleke jiwe leo, kwakuwa mapacha wanaopendwa zaidi Afrika, P-Square wataangusha show ya mwaka kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

IMG_7820

Wakiongea na waandishi wa habari jana, mapacha hao wamesema Tanzania leo itashuhudia show kali kutoka kwao hasa kwakuwa tangu waje mara ya mwisho, miaka mitano iliyopita, wameshaachia hits kibao ambazo hawajaziimba live nchini,. Hits hizo ni pamoja na Chop My Money, Alingo na Personally.

P-Square watasindikizwa na Lady Jaydee, Joh Makini, Profesa J na Ben Pol.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents