Burudani

Picha: Hapana chezea Rihanna, sasa ameimarisha ulinzi kwa kuweka bastola zake masikioni!!

Inavyoonekana usalama ni jambo la muhimu zaidi kwa sasa kwa supa staa wa Barbados Rihanna ambaye ameprove hilo kupitia urembo wake wa masikioni kwa kuvaa hereni za dhahabu zenye muundo wa bastola…LOL

Ri-3

Jana (July 16) Rihanna aliingia katika hoteli ya 45 Park Lane huko Manchester wakati wa tour yake ya Diamonds inayoendelea akiwa na hereni hizo za gold zenye muonekano wa bastola.

Ri-2

Ri-5

Ri-4

Mara kadhaa hit maker wa ‘Diamonds’ Rihanna amekuwa akivaa nguo zenye picha ambazo huwa inaaminika anatuma ujumbe kwa mtu (Chris Brown) hasa unaohusiana na matatizo yake aliyokuwa nayo na aliyekuwa mpenzi wake Chris Brown, je unadhani hereni za bastola ni ujumbe wowote kwa Chris Brown au Karrueche Tran?.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents