Michezo

Ratiba ya mechi ya Mbao dhidi ya Ndanda yabadilika

Ratiba ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Klabu ya Mbao FC ya mkoani Mwanza dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara uliopangwa kupigwa Mei 11, 2018 warudishwa nyuma.

Mchezo huo sasa utachezwa Mei 10,2018 ubadala ya Mei 11 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

Taarifa kutoka ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limeeleza kuwa sababu ya kurudishwa nyuma kwa siku moja mchezo huo ni kutokana na Uwanja wa CCM Kirumba kuwa na matumizi mengine ya kijamii. 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents