Michezo

Sam Allardyce ajitapa kufuzu mapema kombe la dunia 2018

Kocha mpya wa timu ya taifa ya Uingereza, Sam Allardyce amejipa matumaini mapema ya Uingereza kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 huko Urusi.

sam-allardyce-england-manager-st-georges-park_3751257

Sam amechukuwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Roy Roy Hodgson aliyejiuzulu baada ya timu hiyo ya taifa kufanya vibaya kwenye michuano ya Uero iliyomalizika Julai 10, mwaka huu huko nchini Ufaransa.

Akiongea kwenye mkutano wa waandishi wa habari mapema leo, kocha huyo amesema kuwa japo ana uzoefu mkubwa lakini pia ni mtihani wake wa kwanza kwenye timu ya taifa.

“We’re two years way from the World Cup but we must focus on qualifying. Then we can focus on the in-depth issues. We all had great hopes becuase of the way we qualified for them. I hope when we get there (Russia 2018) I can answer that question better then. We can’t change the past. We can only ficus on the future,” alisema.

“It was 10 years since I was last interviewed and to sit here is a huge thrill to me. I think fit the chair. I have the experience to pass and to challenge myself. I think five Premier League clubs has given me a huge amount of experience. It’s the most any manager has managed at, five clubs. “Man-management is my thing. I want players to enjoy themselves and to improve.”

Aidha kocha huyo amekataa kusema kama Rooney ataendelea kuwa nahodha wa timu hiyo au hapana, “No, I’m not answering that. It’s too early to say.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents