BurudaniPicha

Snoop Dogg na The Game waongoza maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi Marekani

Rappers, Snoop Dogg na The Game Ijumaa hii waliongoza mamia ya Wamarekani kwenye maandamano ya amani kupinga mauaji ya watu weusi yanayofanywa na polisi.

13642931_1706394856276482_804500052_n

Maandamano hayo yamekuja baada ya kuuawa kwa watu weusi wawili kwenye matukio tofauti, Alton Sterling na Philando Castile, waliopigwa risasi na polisi.

Lakini pia July 7 polisi watano waliuwa huko Dallas wakati wa maandamano.

Akiongea kwenye maandamano hayo, Snoop alisema maandamano yao ni ya kuhimiza upendo baina ya wamarekani na kwamba chuki si jibu la matatizo yao.

https://www.youtube.com/watch?v=O8hmxD0fciQ

Wawili hao walienda kwenye makao makuu ya polisi ya Los Angeles, LAPD kulikukuwa na mahafali ya polisi wapya.

13573382_1761180767466043_1236973101_n

Hivi ndivyo Game alivyoandika:

History was made. Mountains were moved. Communication barriers were shattered & dialogue was opened & will continue to broaden in the days & weeks to come. I woke up with a mission…. & by day’s end that mission was accomplished & respect was given & displayed in a room full of men with integrity, wisdom, knowledge & power. This wasn’t for anyone individually but for all of us as a whole especially our women, children & immediate families. In my opinion this was the 1st BIG step taken by all of us towards a more unified Los Angeles for all of those who live in it & call it home as well as those who visit & appreciate the beauty of our city….. This was a positive moment that will go down in history & I am glad & very appreciative that I was a part of something so impactful…….. This one was for our children & their futures here in LA…. Congrats on a win for all parties involved today.. Let us continue on our mission, for God knows I left my home today with nothing but pure intentions & positivity on my heart & it shined through today & created an energy that could be shared by people all across the world……. Aye @SnoopDogg, WE DID THAT !!!!!!

Tazama picha zaidi:

13658476_625077447659563_901651341_n

13551536_160962567648399_897558375_n

13561749_571930576318841_1220784118_n

13584133_1614234415554961_1227398162_n

13627904_753709518105101_541205662_n

13628201_1271096446234040_1754537576_n

13636057_1801462816750166_56350967_n

13636209_1760911027517532_537746399_n

13651782_1594961207463987_328419808_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents