Uncategorized

THT kuazimisha miaka 7 kwa concert Dar live

Kituo cha kuvumbua, kukuza na kuendeleza vipaji Tanzania House of Tanzania chenye makaoo yake makuu maeneo ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam, jumapili hii wanaazimisha miaka saba tangu kuanzishwa kwake.

kwa mujibu wa taarifa kutoka kituo hicho wasanii kibao waliopo katika kituo hicho na wengineneo kibao kama Ommy Dimpoz, Diamond, Ben Pol, Shetta,Shilole Mzee yussuf watatumbuiza.
Tukiwa kama wadau wa burudani, bongo5.com inapenda kuwapongeza kwa kutimiza miaka saba ya kukuza vipaji. Hongereni sana.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents