Bongo MovieUncategorized

Video: Wema amekuja kufanya mapinduzi kwenye filamu – Aunt Ezekiel

Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ujio mpya wa Wema Sepetu na filamu yake ‘Heaven Sent’ utakuja kuleta mapinduzi mapya katika tasnia hiyo. Muigizaji huyo alikuwa mmoja kati ya mastaa wa kike waliohudhuria uzinduzi wa filamu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents