Burudani

Video: Wiz Khalifa aeleza walivyomaliza ugomvi na Kanye West

Wiz Khalifa na Kanye West hawana tatizo tena. Hiyo ni baada ya wawili hao kuongea kwenye simu na kuombana radhi. Baada ya hapo ex wao, Amber Rose na mke wake wa Kanye, Kim Kardashian walikutana na kuongea pia.

Wiz alikuwa akiongea na kituo cha redio cha Hot 97 cha New York.

“Tuliongea kwenye simu, Kim and Amber waliongea kwenye simu, tuko sawa,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents