Burudani

Washindi wa tuzo za MOBO 2015 watangazwa, Si Davido wala Wizkid aliyeshinda kipengele cha Afrika

Tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) zimetolewa Jumatano ya Novemba 4 huko Leeds, Uingereza.

Fuse
Fuse ODG

Wasanii wa Afrika walikuwa wakishindana kwenye kipengele kimoja tu cha ‘Best African Act’ ambapo msanii aliyeibuka kidedea kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG.

Fuse ODG amewashinda Wizkid, Davido, Patoranking, AKA, Yemi Alade, Moelogo, Mista Silva, Shatta Wale na Silvastone ambao walikuwa wakiwania kipengele hicho. Hakukuwa na msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki aliyeingia kwenye kinyang’anyiro hicho.

Hii ni orodha kamili ya washindi wa vipengele vyote

Best Hip-hop Act: Krept & Konan
Best Newcomer: Section Boyz
Best African Act: Fuse Odg
Best Female Act: Ella Eyre
Best Male Act: Stormzy
Best Song: Skepta – “Shutdown”
Best Grime Act: Stormzy
Best Album: Krept & Konan – “The Long Way Home”
Best Video: FKA twigs – “Pendulum”
Best Reggae Act: Popcaan
Best Jazz Act: Binker & Moses
Best R&B/Soul Act: Shakka
Best Gospel Act: Faith Child
Best International Album: Drake – “If You’re Reading This It’s Too Late”
Mobo Outstanding Achievement Award: Cee-Lo Green
Paving the Way Awards: Wiley and Sir Lenny Henry

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents