Burudani

Wimbo wa Diamond na Donald wa SA unaitwa Wangu na utatoka Ijumaa ijayo

Wimbo unaosubiriwa kwa hamu kubwa kati ya Diamond Platnumz na msanii wa R&B wa nchini Afrika Kusini, Donald unaitwa Wangu.

10608156_866655060038540_862447052_n

Wimbo huo uliorekodiwa kwenye studio za Universal Music nchini Afrika Kusini na video yake kufanyika nchini humo utatoka Ijumaa, July 17.

Video ya wimbo huo pia itatoka siku hiyo hiyo.

“ANNOUNCEMENT: #Wangu officially drops next week friday the 17th. The video drops on the same day #DonaldAndDiamondCollabo,” ameandika Donald kwenye Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents