Mwanamuziki Young Chally ” wa katikati’ anatarajia kukamilisha video ya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuachia kwenye video baada ya kuisha. Chali alisema video hiyo aliamua kuifanyia maeneo mitaa ya Manzese, ili kupata watoto wanaojua kugonga kiduku.
Marco Chally mwenye shati la rangi ya damu ya mzee, akifuatilia mipango ya msaniii wake Young Chally.
Wasaniii toka Tip Top Connection wakiwasindikiza wasanii waliokuja kufanya video maeneo ya kwao na kuwatafutia sehemu nzuri.
Marco Chally akiwa na dogo, aliyegonga kiduku katika video hiyo.