Burudani

Karapina: Nabadilika kumjengea mwanangu maisha

Hindu_karapina_face

Mwanamuziki Karapina amesema kwa sasa anatarajia kubadili mfumo wa maisha yake ya kimuziki, na kuufanya kama kazi kwaajili ya kumuandalia maisha mazuri mwanaye Hindu.

Alisema mtoto huyu aliyezaa na mkewe ambaye walifunga ndoa muda mrefu, amempa jina la mama yake Bi Hindu kama vile kumuezi. Pia amesema angefurahi sana kama mwanaye atakuja kuwa kiongozi wa kundi lolote, hata kama akiwa mwanamuziki.

Karapina_peke_yake

Karapina 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents