Bongo Movie
Shamsa atumbua jipu lililofelisha soko la filamu Bongo (+video)
Muigizaji wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi mambo yaliyosababisha soko la filamu za Bongo kushuka nchini. Shamsa ametaja miongoni mwa vitu hivyo ni ustaa wa waigizaji ndio chanzo kikubwa.