Muziki
Audio: Lauryn Hill aachia wimbo mpya baada ya kutoka jela ‘Consumerism’
Rapper na mwimbaji Lauryn Hill baada ya kutoka jela Ijumaa iliyopita ametoa wimbo mpya “Consumerism”
kama ishara ya kuwa sasa yuko huru.
“Consumerism is part of some material i was trying to finish before I had to come in” Aliandika Hill kwenye Tumblr.
Usikilize hapa
[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/113740341″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]