Bongo Movie

Abzout kutoka kiasili

abzout

Abzout, msanii wa ngoma za asili na filamu nchini amesema yupo mbioni kuachia albamu yake, ambayo itarudisha tumaini jipya kwa wapendzi wa ngoma za asili.


Akiongea na Bongo5 alisema amejipanga kufanya nyimbo nyingi za kiasili na baadaye kuja kutoa albamu. Aliongeza kwa kusema yupo katika mikakati ya mwisho ya kwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kumalizia baadhi ya sehemu za ngoma hizo pamoja na filamu.

Aliwataja baadhi ya wasanii watakaoshiriki filamu ya Gibanda kuwa Riyama, Mzee Magari, Tito Charlos na Jackline Kisaka.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents