Burudani

Video: Alicia Keys hakuishia kucheza nyimbo za Wizkid tu, huu ni wimbo mwingine wa Mnigeria aliopost akicheza

Baada ya Alicia Keys na mumewe Swizz Beatz kuudhihirishia ulimwengu kuwa wao ni mashabiki wa Wizkid, muimbaji huyo aliendelea kupost post video akicheza wimbo wa msanii mwingine wa Nigeria.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Keys alipost video akicheza kwenye maji wimbo maarufu ‘Shake Body’ wa msanii wa Nigeria, Skales.

Katika video hiyo inasikika pia sauti ya mumewe aki-hype, na caption ya Keys inasomeka hivi;

“#AKwaterdance with you-know-who on the adlibs”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents