Uncategorized

Bi Hindu afunguka kuhusu Simba ‘Kupigwa 5 sishangai, Waarabu watakiona, Yanga bakora moja chali’ (+Video)

Msanii mkongwe nchini na mwanachama wa klabu ya Simba, Bi Chuma Suleiman maarufu kama Bi Hindu, amesema kuwa hajashangazwa na matokeo ya timu yake kufungwa jumla ya mabao 5 – 0 dhidi ya AS Vita ya DR Congo kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika kwakuwa alishawahi kupata kipigo kama hicho na akaweza kukirudisha kwa mtani wake Yanga SC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents