Burudani

Familia ya Lil Wayne yakanusha kuwa ni mahututi

Wakati mtandao wa TMZ jana ukiripoti kuwa Lil Wayne alikuwa mahututi huku familia yake ikiwa karibu naye kusali sala za mwisho, watu wa karibu wa rapper huyo wamekanusha ripoti hizo.

Lil wayne 2

Msemaji wa Wayne amethibitisha kuwa rapper huyo ni mzima wa afya licha ya kupatwa na kifafa lakini habari kuhusu kuwa mahututi na kwamba yupo kwenye mashine maalum ya kumsaidia kupumua si za kweli.

Rapper T.I. alitweet: Just holla’d @my Lil bruh Tunechi…& he skraight! TMZ some fuck-niggaz for reporting that hoe-ass-shit!!! That man daughter is like mines. That shit surely got his mama hurtin,his kids hurtin,& he got true to da game patnas like me & Othas who ready to RIDE bout all da fuck shit. … #nowthankitsagamenigga!!!

Naye mke wake wa zamani na mama wa mtoto wake wa kwanza, Toya aliandika:

TOYA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents