Burudani

Chemical kuachia ngoma aliyomshirikisha Fid Q

Baada ya kufanya vizuri kwenye verse za nyimbo zake akiwa mwenyewe, rapper Chemical anakaribia kuachia wimbo aliomshirikisha Fid Q.

33C090B100000578-3569871-image-m-42_1462227265535

Chemical ni mmoja kati ya rappers wa kike wanaofanya vizuri na kukubalika kutokana na utofauti wake wa kuchana.

Akizungumza na Bongo5, mmoja wa viongozi wa menejimenti ya Kazi Kwanza amesema ‘Tutaanza kuachia video ya wimbo wa Chemical aliomshirikisha Fid Q mwishoni mwa mwezi huu wa tano.’

“Sasa hivi tutakuja na style nyingine ya kuachia wimbo wa Chemical. Tutaanza kuachia video kwanza na baadaye itafuata audio. Wimbo unaofuata ni ‘Hero’ amemshirikisha Fid Q, na director wa video ya wimbo huo atakuwa Msafiri wa Kwetu Studio,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents