Habari
Jeshi la Polisi laanza uchunguzi wa tukio la mwandishi wa habari kupigwa na polisi uwanja wa Taifa
Jeshi la polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam limeanza uchunguzi wa tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio, Silas Mbise ambapo pia limemtaka mwandishi huyo aende kutoa taarifa katika kituo cha polisi ili uchunguzi uweze kufanyika.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda Maalumu wa Kanda ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa.
Uchunguz gan sasa hahahaaaaaa wa tz mihuwa naishia kucheka tuu
Uchunguzi ili mbain kitu gan sasa
Wachunguze pia ile mimba niliyo mpa yule student inawezekana ikawa sio mimba yang
#uchunguzi_unaendelea
HAHAHA TANZANIA KICHWA CHA MWENDA WAZIMU..UCHUNGUZI GANI WAKATI CAMERA ZILIKUWEPO WATU WANAYO VIDEO CLIPS