Uncategorized

Jibu la Drake kuhusu kufikiria kuacha muziki

Drake amefanikiwa kutokelezea kwenye jarida la The Hollywood Reporter la mwezi huu Novemba.

Katika jarida hilo ambalo limetoka jana, rapper huyo wa Torinto, amefunguka mambo mengi ikiwemo sababu za kuingia kwenye tasnia ya uigizaji pamoja na tamthilia ya Top Boy na kufikiria kuachana na muziki.

Kuhusu mipango ya kuacha kufanya muziki Drake amesema, anafahamu kuwa hilo litakuja kutokea siku moja lakini hafikirii hilo kutokea katika kipindi hiki zaidi anachokifanya ni kuupanua zaidi muziki wake.

“I’m sure I’ll stop [making music] one day. When it starts to feel like I’m making it up. Hopefully I’ll catch it before I ever get there, right? But right now it feels like we just started, so I don’t plan on stopping anytime soon. But I do plan on expanding — to take six months or a year to myself and do some great films. Music’s always there,” amesema rapper huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents