Burudani

Mume wa Tiwa Savage asafisha tetesi za mpasuko wa ndoa yao changa

Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na tetesi zilizoenea mtandaoni kuwa ndoa yenye umri wa miezi mitano ya muimbaji wa ‘Eminado’, Tiwa Savage wa Nigeria na mume wake Tee Billz iko kwenye matatizo yanaoweza kusababisha kuvunjika.

Tiwa-Tee-Billz

Baada ya Tiwa Savage kukwepa kwepa kuzungumzia tetesi hizo kila alipokuwa akiulizwa kwenye mahojiano, mume wake amefunguka na kukanusha tetesi hizo alipofanyiwa mahojiano na jarida la Encomium. Tee amesema yeye na mke wake (Tiwa) bado wanapendana sana na wana furahia ndoa, “We are still very much in love and happily married.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents