Siasa

Mwanaharakati Mabawa: Rais Magufuli asiende kwenye kampeni, Upinzani bungeni hawatazidi 6 (+Video)

Mwanaharakati anayejiita Mzalendo ambaye anaitetea Serikali iliyopo madarakati LAURENCE MABAWA amezungumza na kuwashauri wananchi kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi kuwa wasichague mtu kwa kigezo cha Elimu bali kwa kigezo cha kuwatahimini na kuwatetea.

Bwana Mabawa ameongeza kuwa kwa jinsi Rais Magufuli alivyowatumikia wananchi hakupaswa kwenda kwenye kampeni za mwaka huu kwani uhakika wa kushinda upo.

Mbali na hilo ameongeza kuwa wapinzani mwaka huu wanaweza wasishinde kwenye uchaguzi au wakatikane wabunge 6 tu Bungeni kutokana na ilani ya CCM ilivyotelezwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents