![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2022/04/3A67011C-2679-49DC-A64A-5A70B17F5D92.jpeg)
Mwili wa msanii wa muziki Maunda Zorro ambaye alifariki kwa ajali ya gari Usiku wa kuamkia Jumatatu hii umetolewa hospitali ya Kigamboni kwaajili ya ibada ya mwisho ambayo itafanyika nyumbani kwa Baba yake na baadae kwenda kuzikwa nyumbani kwake, Ungindoni.