Burudani

New Music: Bonta Maarifa f/ G-Nako – Kila Maarifa

Member wa Weusi, Bonta Maarifa ambaye kutokana na majukumu yake ya udaktari, amekuwa kimya kwa muda, amekuja na ngoma mpya aliyomshirikisha G-Nako. Wimbo unaitwa Kila Maarifa na umetayarishwa kwa ushirikiano wa Chizan Brain na Q The Don.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents