Burudani
New Music/Video: P-Square waachia rasmi nyimbo 3 kwa mpigo, na video waliyomshirikisha T.I wa Marekani
Kundi la mapacha wa P-Square tayari limedondosha single zao mpya tatu kwa mpigo, pamoja na video moja ya wimbo waliomshirikisha rapper T.I wa Marekani unaoitwa ‘Ejeajo’. Video hiyo ilifanyika Marekani.
“To our fans all over the world, the wait is over. Our 6th album is almost ready for you but just before then, here are 3 new singles for #TeamPSquare. Enjoy!” wameandika kwenye website yao.
Nyimbo nyingine mbili walizoachia ni ‘Shekini’, na ya tatu inaitwa ‘Bring It On’ waliyomshirikisha Dave Scott.
[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/165256706″ params=”auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&visual=true” width=”100%” height=”450″ iframe=”true” /]