Michezo

Oscar Pistorius kutoka jela Jumanne ijayo

Mwanariadha mlemavu wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius ataachiwa kutoka gerezani Jumanne ijayo baada ya bodi ya parole kutoa ruhusa.

226B661A00000578-0-image-a-62_1444911364295

Pistorius alihukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwaka 2013. Amekaa jela kwa mwaka mmoja sasa.

Hata hivyo bado anakabiliwa na rufaa kwenye mahakama kuu mwezi ujao ambayo kama ikipita hukumu yake itaongezeka na kuwa miaka 15.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents