Habari

Rais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Rais Museveni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda,Kaguta Yoweri Museveni.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Mh. Sam Kutesa

Soma taarifa kamili;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents