Bongo Movie

Tito avimba uso

100_1172

Tito Charlos azidi kuvimba uso na kusema anaomba wasanii wajifunze kupitia kwake kwa kile kilichomsibu, kwani wapo wanaoandikia mapenzi kwenye filamu zao, wakati wao wenyewe wapo kwenye matatizo makubwa ya kimapenzi.

100_1173
(Hapa akieleza kwa jinsi maumivu ambayo anaendelea kuyasikia, huku akiwashukuru wasanii wenzake ambao wanakuja kumuona)100_1176
(Hapa akiwa na dada yake akimuuguza kidogo, Bongo5 nayo inampa pole na kumwombea kwa Mungu, apone haraka aingie kwenye kazi zake kama zamani)

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents