Michezo

Video: Argentina yachapwa 3-0, mashabiki wa Lionel Messi wakosa amani!

Kipigo cha Argentina cha goli 3-0 dhidi ya Croatia kimewachanganya kabisa mashabiki wa mshambuliaji wa timu hiyo na klabu ya Barcelona, Lionel Messi huku mmoja kati ya mashabiki hao wakimshauri mchezaji huo kubadili uraia.

Unaweza kuangalia mechi zote za Kombe la Dunia kupitia App ya Kwesse Iflix. Vodacom wamekuandalia bando maalum linaloweza kukufanya ufurahie mechi zote bila kukwama, unachotakiwa kufanya ni kupiga *149*01# kisha chagua intaneti halafu chagua KWESE IFLIX VIDEO kufurahia uhondo huu .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents