BurudaniVideos

Video: Sandra (Girlfriend wa Nisher) aja na Make Up Session

Nisher ana silaha mpya – kamera yenye thamani ya $15,000! Kwa bei hiyo ubora wa video zinazotoka ni balaa.

Katika kuonesha kuwa amekuja na vitu tofauti, muongozaji huyo wa video za muziki mwenye makazi yake jijini Arusha, anatayarisha mfululizo uitwao ‘Make Up Session’ unaofanywa na girlfriend wake, Sandra aka SysherX.

Kwenye mfululizo huo unaopatikana YouTube, Sandra anaongelea masuala mbalimbali ya urembo hasa kujipamba uso kwa akinadada. Jionee hapo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents