Burudani

Video: Yemi Alade – Sugar

Hit maker wa ‘Johnny’, Yemi Alade wa Nigeria ametoa video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Sugar’. Video hiyo ilioongozwa na Paul Gambit imefanyika London, Uingereza pamoja na Lagos, Nigeria. Sugar ni single ya 9 kutoka kwenye album ya Yemi, “King of Queens”.

https://youtu.be/BlgcsKF1Wr4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents