Michezo

Welbeck kuwa nje kwa miezi 9 kwa jeraha la goti

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na Uingereza Danny Welbeck atakuwa nje ya uwanja kwa miezi tisa baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na jeraha la goti.

33F5308F00000578-0-image-a-1_1462980059593

Welbeck mwenye umri wa miaka 25 alipata jeraha la mguu wake wa kulia wakati timu yake ilipopata sare ya 2-2 dhidi ya Manchester City siku ya jumapili na hatocheza mchuno wa Euro 2016.

Klabu yake imesema kuwa ukaguzi uliofanywa umebaini kwamba aliumia vibaya na kwamba sio jeraha la hapo awali lililomfanya kukosa miezi saba ya msimu huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents