Wimbo mpya wa ‘Happy’ wa Rich Mavoko waibua mapya, mashabiki wake wampongeza kuondoka WCB

Tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko aachie ngoma yake mpya ya ‘Happy’ kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii maoni mengi ya mashabiki wake yamekuwa yakiongozeka kila siku wengi wakimpongeza.

Mavoko akisaini
Rich Mavoko akimwaga saini siku ya kusainishwa WCB

Maoni hayo licha tu ya kumpongeza kwa kutoa ngoma kali bali pia yamekuwa yakimpongeza msanii huyo kuondoka kwenye lebo yake ya WCB.

tunda_.tz Richi the boss boy from tz waachee haoo waambiee kwann kifesi aliondok ukoo richi big up sana mzazi bora umetoka ukoo mpk hit song zako kidogo zipotee daaah komaa boss

_miss._.gucci Hongera sana broo kwa kutoka WCB umefnya vzri broo nilishangaaa sana kukuona umeingia WCB coz uko n kipaji n sauti nzri zaidi ya dai sasa wameona unakuja vzri wameona gere ndugu yangu ww unaweza hata ukiwa nnje ya WCB so ss ma funz wko tunaomba uwaoneshe km unaweza n sio dai ndo alikua anakufanya usikike n upendwe ila n mungu n sio dai alikua anakufnya upende ila n mungu soo weka mungu mbele n evry thng gona be ok kwako soo pambana ss bdo tupo n ww wacha nao hao ma funz wko tunataka uzidshe bidii iliwapate tabu sanaaaa.

mussawaleo ulinifanya niipende WCB N.a. umenifanya niichukie.

mr_misifa_2 NIMEFURAH UMETOKA UTUMWANI MWA FARAO WA WACLEAN, UKISIMAMA MWENYEWE UNAWEZA PIA NASHUKURU UMENITOLEA KUFULI

bishoo_la_instaaNyie mnao jifanya kumsifia mavoko niwa nafki na mna chuki na seemu aliyo kuepo mavoko kwasababu mavoko akuitwagwa #wcb bali alijiletaga mwenyewe(kama alivyo semaga kwenye interview) kuna watu wanadai(walitaka kumpoza,wengine kuusu ushirikina……na mambo mengine) kwanza mavoko kabla ajawa #wcb kawaida yake alikua nimtu wakimya kwenye mitandao unaweza uka fatilia intagram yake na you tube apost post sana sasa mnawezaje kudai ilipoingia #wcb ndo alikua kimya wakati ni kawaida yake tangu ajawa #wcb (kujitia mna mshabikia na amujui tabiya yake #mnachukinawcb mnaongea sana ila siku azigandi.

s.o.l.o.m.o.n_@yohan_aofficial hajaona mafanikio ndo maana katoka! I this we was doing waaaay batter alivyokuwa mwenyewe! Hamna msanii asiependa mafanikio, that’s what I believe.

s.o.l.o.m.o.n_@kemieeeee this is what I was telling people! The guy was diamond competitor! His music was so strong to stand as an independent artist, wasafi made him look like underground, depending on his boss! I hope he will continue making amazing music as he was before joining wasafi! I wish him lucky too.

wcb_4lif @richmavoko unayumba #happy nyimbo mbaya kusema kweli tatz umetoka wasafi alf wewe unaonekana una matatizo ukai na watu vizur ilila papaa misifa alisema mavoko snichi na @diamondplatnumz auto muweza na ndio haya tunaona ila nyimbo yako mbovu na haifiki popote utaona.

Anyways tunaweza kusema maoni hayo ya mashabiki hayana uhalisia lakini je, kwa idadi ya watu hao wote ni kweli wanalolisema halina ukweli?

Na ni kwanini mashabiki wanamtangazia Rich Mavoko kuondoka WCB ile hali uongozi wa WCB na hata wasanii wenzake kutoka WCB wanakataa kuwa hajaondoka WCB?

SOMA ZAIDI : Jibu la Rayvanny iwapo Rich Mavoko ameondoka WCB

Hii inatia hofu zaidi kwa Rich Mavoko kwani hata mfumo wa Q Boy msafi na Kifesi ulikuwa hivyo hivyo kuondoka WCB kila mtu alikataa kuwa hawana tofauti mpaka walipoamua wenyewe kufunguka.

Je, Rich Mavoko na wewe unasubiri hadi mashabiki wako wakushambulie mitandaoni ndio uje uongee? kwanini usiliweke wazi suala hilo kama ulivyoweka wazi wakati ule unasainiwa WCB.

Wahenga wanasema mficha maradhi kifo humuumbua, na ili uweze kuwa huru ni lazima uwaweke wazi mashabiki wako juu ya hatma yako ndani ya WCB hii itakufanya hata kama ni kweli umeondoka WCB uendelee kupendwa na mashabiki wako uliowavuna ukiwa WCB kwa miaka miwili.

Hebu fikiria shabiki wako wa WCB ambaye alizoea kuona kwenye BIO zako za mitandao ya kijamii umeweka lebo ya WCB lakini kwa sasa umefuta unadhani anapata picha nzuri kutoka kwako? bila shaka atakuchukia ni bora uwaweke wazi mashabiki wako.

SOMA ZAIDI – Kuna msanii mkubwa hakupenda mimi kujiunga na WCB – Rich Mavoko

Mbaya zaidi Rich Mavoko kaachiwa wimbo wake mpya wa ‘Happy’ na wengi tumezoea kuona umoja wa WCB pale mmojawao anapoachia ngoma lakini wimbo huo hakuna msanii yeyote kutoka WCB wala kiongozi kuuposti kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Lisemwalo lipo na kama halipo laja pia Rich Mavoko kumbuka kuwa ni kawaida sana msanii kuondoka kwenye lebo yeyote ile na wala haiwagi siri kwa sababu muda una tabia ya kuhukumu.

Hata hao unaowaona akina Wizkid, Lil Wayne na wengineo wasanii wakubwa duniani wameshawahi kutemwa wengine kuondoka kwa sababu zao na walitangaza hadharani na kuweka wazi sababu zao na hadi leo wanapeta.

Tetesi za Rich Mavoko kuondoka WCB zilianza kusambaa tangu mwezi Juni lakini mpaka sasa uongozi wa WCB na wasanii wenzake wamekuwa wakidai wapo pamoja huku mwenyewe akikataa kabisa kuzungumzia ishu hiyo.

SOMA ZAIDI – Diamond Platnumz aitambulisha rasmi label ya WCB pamoja na ‘kumsainisha’ Rich Mavoko

Related Articles

49 Comments

 1. Hafu watanzania ni wabaya kweli… Kipindi kile Mavoko bado kusainishwa WCB, watu wengi walikuwa namuulizia Mavoko ni lini utasaini WCB, leo hii katoka imekuwa tena amefanya maamuzi mazuri… Duh wabongo bwana mmenichosha…

 2. mavoko ni msanii mkubwa na mkongwe kuliko wt pale kwenye kundi la vikuku kaendelee kupambana kivyako ungeendelea kuwepo kule unapopangiwa kutoa nyimbo ungepotea moja kwa moja kwenye game

 3. NNyinyi munaesema kwamba mavoco atapotea kwenyegame kwani mavoco iyo alianza kuimba nawasafi au wasafi ndoilimtambulisha kwenyegame ebu acheni uboya nyinyi ayo nimaamuzi take binaffsi namaslai yake.

 4. Siku zote wabaya hawatoki mbali na watu wanaokuangusha uwa ni watu wako mashabiki watakusifu siku ukipotea utapotea pekee yako watabaki kusikiliza nyimbo zako za zamani na watachagua msanii mwingine.

 5. Wasi wasi Wangu SOKO Lake lisije likashuka ghafla,Sidhani kama alikuwa ameshahandaa mazingira kwa ajili ya kuweza kujisimamia kazi zake yeye mwenyewe…..Any way hata kama issue ni maslahi naona kuna utofauti MKUBWA Sana Kati ya Richmavoko aliyeskuwa anasimama kama Single artist na RICHMAVOKO wa WCB(kwa mtazamo Wangu)

 6. sasa bd kuna choko mmoja anajifanya anaongelea management utafikiri anaijua vizur maana yk,yule mavoko alishaona amearibu kwenda kule kwa wavaa vikuku na ndio maana ameshtuka fasta akasepa!

 7. Mavoko n star mkubwa sn n anajuw imba sn nampongeza sn kutoka wasafi nj atatumika kwasana kbx uo diamond ik naubaguz sn amekuwa anatak kumficha sn mavoko n anamshimda sn at kuimba n uo boss wak simba mavoko respect ss niw shabiki wak tuk burundi

 8. your decision to leave wasafi is overwhelming wish you good luck I knew you were a star in your on you should have your on label not to be signed by other people go boy you’ll make it by Gods grace

 9. I am a great spiritual helper. My brother try to make good use of this opportunity that has been given to you because opportunity comes but ones. I am here to help you with the following ; 1. Instant money 2. Pocket no dry 3. Pot money 4. Money rituals 5. Promotion in office 6. Promotion at work place 7. Promotion at every business 8. Lotto numbers 9. Lotto lucky 10. Scam lucky 11. Boy /Girl lucky 12. Husband /Wife lucky 13. Herbal treatment 14. Low sperm count 15. Sex power 16. Success every and so on if any problem you can call me on this number 0550570377 or add me on Whatsapp +223550570377 and your problems are solve

 10. I am a great spiritual helper. My brother try to make good use of this opportunity that has been given to you because opportunity comes but ones. I am here to help you with the following ; 1. Instant money 2. Pocket no dry 3. Pot money 4. Money rituals 5. Promotion in office 6. Promotion at work place 7. Promotion at every business 8. Lotto numbers 9. Lotto lucky 10. Scam lucky 11. Boy /Girl lucky 12. Husband /Wife lucky 13. Herbal treatment 14. Low sperm count 15. Sex power 16. Success every and so on if any problem you can call me on this number 0550570377 or add me on Whatsapp +223550570377 and your problems are solve

 11. We k umemsikiliza alichokisema?! Mavoko aliambiwa na diamond atoe nyimbo tano kwa mpigo akashindwa akaona hawez akajitoa sasa sijui unaongelea nn au unaongea kwa hisia za kike au uko kwenye siku zako?!

 12. Eddy Reigns yuko kwenye cku zako mama yk mzazi mkundu ww,una ushahidi aliambiwa huo usenge WK unaouonge,mavoko ashindwe kutoa nyimbo 5 hapo mwanzo nyimbo alizozitoa ulimtolea ww unaongea kama umekalia kipic cha uboo matakoni,msenge ww!

Back to top button