Michezo

Arsenal wamsajili kiungo wa FC Basel

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba klabu yake imemnunua kiungo wa kati wa FC Basel Mohamed Elneny.

3028B1EF00000578-3398430-image-m-46_1452771201319

Mchezaji huyo anaweza kuonekana uwanjani dhidi ya Stoke Jumapili.

3007D8D700000578-3398430-image-a-1_1452728867474

Elneny, 23, anaripotiwa kuwagharimu Gunners £5m na anahitimu kuwachezea katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

Akizungumza baada ya Arsenal kutoka sare ya 3-3 na Liverpool uwanjani Anfield, Wenger alisema: “Amejiunga nasi na tutamchunguza kuona iwapo anatosha kucheza Jumapili.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents