Siasa

Arusha: Kongamano la uhuru wa vyombo vya habari

Wadau wa masuala ya habari wakifuatilia mada mbalimbali zinazotolewa katika siku ya kwanza ya kongamano la vyombo vya habari duniani linalofanyika jijini Arusha.

 

Kongamano hilo ni sehemu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa kuelekea maadhimisho ya mwaka huu ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani hapo Mei 3, 2022

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents