Habari

Catherine Masumbiga atwaa taji la Unique Model 2012

Mrembo Catherine Masumbiga jana usiku ameibuka mshindi kwenye shindano la Unique Model lililofanyika kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam.

Nafasi ya pili ilikamatwa na Cesilia Michael huku Amina Ayubu akikamata nafasi ya tatu.

Catherine akiwa na washindi wenzake baada ya kutangazwa kuwa mshindi

wanamitindo wakiwa kwenye pozi
wanamitindo wakiwa kwenye pozi
Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.

Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto ni Gymkhana Hilal kutoka Paka Wear , Asia Idarous na Martine Kadinda.

Wakitumbuiza mashabiki mapema kabla ya kuingia kuonyesha mavazi ya aina mbalimbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents