Uncategorized

Mbunge wa Mtera Livengston Lusinde ashauri uchaguzi wa Urais 2020 kuondolewa ‘Rais apite bila kupingwa, hana mpinzani’ (+video)

Baada ya hoja ya Rais kuongezewa muda hadi kufika miaka saba, Mbunge wa Mtera Livengston Lusinde ashauri uchaguzi wa Urais wa mwaka 2020 kuondolewa na kubaki wa Wabunge na Madiwani.

“Kuna faida gani kwenda kupoteza fedha chungu mzima kwa ajili ya uchaguzi Rais ambaye hana mpinzani, tufanye uchaguzi wa Udiwani na Ubunge kwenye Urais tuache na hizo pesa za uchaguzi tumkabidhi Rais zisaidie kuboresha kujenga nchi”- Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents