Habari

Video: Hivi ndivyo Jaguar wa Kenya anavyokubalika Rwanda, ajaza uwanja weekend iliyopita

Mwimbaji wa ‘Kioo’ Jaguar kutoka nchini Kenya, weekend iliyopita alitumbuiza nchini Rwanda na kufanikiwa kujaza uwanja kwa kiasi kinachokadiriwa kufika watu elfu kumi, kwa mujibu wa Ghafla.

Video hii inaonesha ni kwa kiasi gani msanii huyo anavyokubalika na Wanyarwanda ambao wanaonekana kuzifahamu vizuri nyimbo zake ambazo walikuwa waki-‘sing along’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents