Habari

Video: Mtoto wa Waziri Mwakyembe, akisoma wasifu wa marehemu, Bi Linah

Mtoto wa Waziri Mwakyembe, George Mwakyembe amesoma wosia wa marehemu mama yake, Bi Linah katika ibada iliyofanyika katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents