Habari

Zito Kabwe afunguka haya Mahakama ya Kisutu baada ya kutoka kwa dhamana (+Video)

Zito Kabwe afunguka haya Mahakama ya Kisutu baada ya kutoka kwa dhamana (+Video)

Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amepandishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam na kusomewa mashtaka 3 ilikiwemo la kutoa maneno ya uchochezi yanayojenga chuki kwa Wananchi dhidi ya jeshi la polisi. Kesi inayomkabili imeahairishwa mpaka November 26 mwaka huu.

Zito alipata wasaa wa kuzungumza na waandishi wa habari na kusema;- “”Hili ni jambo la kawaida viongozi wote wakubwa wamepitia haya, nasikitika sana jana nimekosa mdahalo Hatuwezi kuendelea kuangalia viongozi wa juu wa upinzani kila siku wanawekwa ndani”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents