Uncategorized
Mayweather aitangaza tarehe ya pambano lake na Nasukawa (+Video)
Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani
Floyd Mayweather amefunguka na kutangaza rasmi tarehe ya pambano lake na Mjapan Tenshin Nasukawa.
Kupitia ukuarsa wake wa Instagram bodia huyo ameitangaza tarehe 31/ 12/ 2018 kuwa ndio tarehe rasmi ya pambano lake.
By Ally Juma.