Bongo Movie

Majina ya ‘Action and Cut Viewer’s Choice Awards 2014 (Tanzania) yatajwa

Muigizaji wa filamu na mtangazaji wa kipindi cha Action and Cut kinachorushwa na kituo cha runinga cha Channel Ten, Bond Bin Sinan aameandaa tuzo za wasanii wa filamu nchini kupitia jina la kipichi hicho.

film_logo

Tayari majina ya watakaowania tuzo hizo yametoka. Jinsi ya kumchagua msanii unayemtaka, tuma jila la msanii kwa kila categories kwenda namba 0782 555 465. Zoezi hili ni kwa wiki 7 na baada ya hapo tarehe ya tuzo itatajwa.

Hii ndio orodha nzima.

BEST ACTOR
Jacob Stephen ( SHIKAMOO MZEE)
Mohammed Mwikongi ( WAITING SOUL )
Simon Mwampagata Radio ( MAHABA NIUWE)
Hemed Suleiman ( STELLA )
Steve Mengere Nyerere ( GET OUT )
Salim Mohammed Gabo ( BADO NATAFUTA)

BEST ACTRESS
Rose Ndauka ( WAITING SOUL)
Irene Paul ( LOVE & POWER)
Wastara Juma ( Mr & Mrs SAJUKI)
Irene Uwoya ( QUESTIONS MARC)
Elizabeth Michael Lulu ( FOOLISH AGE)
Jacline Wolper ( MAHABA NIUWE)

BEST UPCOMING MALE
Rammy Valid ( FAN’S DEATH)
Mohammed Mussa ( MBEGU)
Gerry Wa Rhymes ( STELLA)

BEST UPCOMING FEMALE
Wellu Sengu ( MATILDA)
Janeth Lameck ( BIKIRA KIDAWA)
Najma Dattan ( FAN’S DEATH)

BEST DIRECTOR
Vincent Kigosi (TWISTED)
Issa Mussa Cloud (SHAHADA)
John Lister (PUMBA)
Jackson Kabirigi ( NGUVU YA IMANI)
Lamata ( Mr & Mrs SAJUKI)
Kulwa Kikumba Dude ( MELVIN)

BEST FILM
Twisted ( RJ FILM COMPANY)
Nguvu ya Imani ( )
Shikamoo Mzee ( JERUSALEM FILM COMPANY)
Tikisa (NISHA’S FILM COMPANY)
Mr & Mrs Sajuki (WAJEY FILM COMPANY)

BEST D.O.P
Kabuti Onyango (TIKISA)
Farid Uwezo (TWISTED)
Hassan Maimbari (Mr & Mrs SAJUKI)
Rashid Mrutu ( APLE)
Timothy Conrald ( NGUVU YA IMANI)

BEST EDITOR
Farid Uwezo ( TWISTED )
Timmoth Conrald ( NGUVU YA IMANI)
Hassan Maimbari (Mr & Mrs SAJUKI)
Zakayo Magulu ( LOVE & POWER)
Rashid Mrutu (APLE)

BEST COMEDIAN
Amri Athuman King Majuto ( SHIKAMOO MZEE)
Hadji Salem Mboto ( NYOTA YANGU )
Kitale ( MORE THAN A LIAR)
Mahsein Awadh Dr. Chen ( MAJANGA)

BEST COMEDIAN
Amri Athuman King Majuto ( SHIKAMOO MZEE)
Hadji Salem Mboto ( NYOTA YANGU )
Kitale ( MORE THAN A LIAR)
Mahsein Awadh Dr. Chen ( MAJANGA)

BEST ACTION MOVIE
C.I.D
Bongo Mafia
Double J Final
Damu Nzito
Step by Step

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents