Burudani

Video mpya ya Vanessa Mdee ‘Hawajui’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Jumatatu (Dec.8)

Vanessa Mdee anaingia kwenye orodha inayozidi kukua ya wasanii wa Bongo ambao video zao huanza kutambulishwa exclusive na TV kubwa za nje kwa mara ya kwanza.

Vanessa MTV

Video yake mpya aliyoshoot Afrika Kusini ‘Hawajaui’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base siku ya Jumatatu (Dec 8) kupitia ‘Spanking New’.

Kupitia Instagram Vanessa ameandika:

“Monday FIRST ON BASE!!!!! #Hawajui saa kumi na mbili jioni “

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents