Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account
 • Tamasha la Bongo Fleva

  Taasisi ya taaluma za kiswahili Chuo kikuu cha Dar es salaam kinakuletea tamasha kubwa la Bongo Fleva linaloitwa Elimika na…

  Read More »
 • Burudani

  Adili ndani ya Filamu

  Mtayarishaji wa Filamu anayefanya vizuri na kampuni yake ya Chapakazi Films, Adili Hisabati, anauanza mwaka vyema kwa kuachia filamu inayokwenda…

  Read More »
 • I’m not rich- PM

  The premier himself, Hon. Mizengo Pinda, has come forward and declared his property publicly. Speaking with the press yesterday, the…

  Read More »
 • Lupe Fiasco ndani ya Bongo

  Msanii wa Marekani, Lupe Fiasco, yupo nchini tangu Januari 11 akipanda mlima Kilimanjaro kwa hisani kwenye kampeni ya kusisistiza matumizi…

  Read More »
 • Tutafanya vizuri

  Mchezaji wa Serbia ambaye pia anachezea klabu ya Manchester United, Nemanja  Vidic, anaamini timu ya Serbiaitafanya vizuri kwenye fainali za…

  Read More »
 • Kesha kama CNN

  Waumini wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship bado wanaendelea kupiga kambi usiku na mchana kwenye kanisa lao maeneo ya…

  Read More »
 • Cowell aitosa American idol

  Mmoja wa majaji aliyeleta mafanikio kwenye mashindano ya kusaka vipaji ya American idol, simon cowell, ataondoka na kujiunga na mashindano…

  Read More »
 • Ali Kiba ndani ya reading, UK

  Mpango mzima unasababishwa na Bongo DJs na utakuwa siku ya Januari 30 huko kwa Malkia Elizabeth

  Read More »
 • Mrema asafishwa na wenzie

  Naibu katibu mkuu wa TLP, Hamad Rajab Tao leo amezindua kitabu  kinachoelezea undani wa mvurugano unaoendelea katika chama hicho kwenye…

  Read More »
 • Mtikila matatani

  Mahakama ya Hakimu mkazi ya Kisutu imetoa haki ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mch. christopher Mtikila baada ya kushindwa…

  Read More »
 • Mrithi wa Maximo

  Kocha muingereza Stewart Hall ameielezea nia yake ya kurithi mikoba ya Mbrazil Marcio Maximo kuinoa Taifa Stars. Hall, ambaye ameshawahi…

  Read More »
 • Dully anakuja na ‘Tapatapa’

  Kama ulifikiri ngoma ya Shikide kutoka kwa Dully Sykes ndiyo ngoma kali kuliko zote za Dully, fikiri tena. Jamaa ameing’ata…

  Read More »
 • Habari

  Nani mrefu zaidi?

  Nani mrefu kati ya galacha wa hip hop nchini Anselm Ngaiza aka ‘Soggy Doggy Anter’ na staa wa Orijino Komedi…

  Read More »
 • Habari

  Saigon atoa Somo

  Mwanamuziki na mdau mkubwa wa mzuki wa hip hop, Saigon, ameachia ngoma ya kufungua mwaka inayokwenda kwa jina la ‘Soma’…

  Read More »
 • Lady JD aporwa

  Habari za kusikitisha zilizofika dawatini ni kuporwa kwa mkoba wa mwanamuziki Lady JD. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea usiku kwenye…

  Read More »
Bongo5

FREE
VIEW