You are here >Home
Sat 04 Jul 2009
Danny Glover ndani ya ZIFF
Thursday, 02 July 2009
Danny Glover ndani ya ZIFF
Mcheza filamu kutoka Hollywood Danny Glover ambaye alitikisa katika filamu nyingi na kujipatia umaarufu mkubwa jana alishuka uwanja wa ndege wa Zanzibar bila mbwembwe za kistaa akimsalimia kila mtu, mwingine katika picha ni ofisa wa itifaki wa ZIFF Edwin (kushoto).
 
Henry Joseph rasmi Norway
Thursday, 02 July 2009
Henry Joseph rasmi Norway
Kiungo mkabaji wa Simba na timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Henry Joseph Shindika, jana alisaini mkataba wa miaka minne kusakata soka ya kulipwa katika klabu ya Kongsvinger ya Norway
 
Cannavaro, Nizar waenda Canada
Thursday, 02 July 2009
Cannavaro, Nizar waenda Canada
Wachezaji wawili wa Taifa Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro' wa Yanga na Nizar Khalfan wa Moro United wanaondoka nchini kesho kwenda Canada ambako watajiunga na klabu ya Vancouver Whitecaps
 
Hongera Hasheem!!
Friday, 26 June 2009
Hongera Hasheem!!
Usiku wa kuamkia leo nyota wetu wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet, amechagulia kucheza na timu ya Memphis Grizzlies baada ya kuibuka chaguo la pili katika NBA Draft
 
Michael Jackson Afariki
Friday, 26 June 2009
Michael Jackson Afariki
Mfalme wa muziki ya Pop duniani Michael Jackson amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya UCLA baada ya moyo wake kusimama...alikuwa na miaka 50 tu
 
Adam ala Shavu
Wednesday, 24 June 2009
Adam ala Shavu
Ni yule Adam (pichani kati kati) ambaye ni maarufu kwa utengenezaji wa video za bongo Flava kupitia kampuni yake ya Visual Lab Next Level amekuja kivingine
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Members Activity

4 July, 2009
New user registration, 10:00
jibou_mohamed joined our community! Welcome!

Profile Update, 09:59
Bongo updated their profile photo.


Profile Entry, 00:25
Bongo wrote on the profile of fettylicious

3 July, 2009
New user registration, 23:33
edesgeorge joined our community! Welcome!

Profile Update, 22:23
nicoledallah updated their profile.

New user registration, 22:15
sindbud joined our community! Welcome!

Profile Update, 21:37
sucher updated their profile photo.

Profile Entry, 21:02
whizlawrence wrote on the profile of babynaj

Profile Entry, 21:01
newlever wrote on the profile of babynaj

The Weather

Dar es Salaam, , TZ

Now
Mostly Cloudy
23°C, Windchill: 23°C
Wind: 19 kph S
Humidity: 73%
Visibility: 0 km
Preasure: 1,020 mb rising
Sunrise: 6:35 am
Sunset: 6:19 pm
Sat
Partly Cloudy
Hi: 29°C, Low: 21°C
Sun
Mostly Cloudy
Hi: 31°C, Low: 20°C

Sudoku

lemunge shouts:
wajameni nini m,baya tena mbona mmetuondolea sms wanabongo5  
please lets us know

Latest Members Pics

 
Advertisement

Latest Videos

We have 15 guests online and 3 members online
DENI epa jibou_mohamed
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
total 24112 registered
female 5942 female
male 18071 male
month 27 new this month
New: jibou_mohamed